
Kalonzo Musyoka







Mkutano wa upinzani nyumbani kwa Kalonzo Musyoka, kaunti ya Kitui, ulichukua mkondo usiotarajiwa alipoingia aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua.

Mwanasiasa huyo aliwaalika wanasiasa wakuu wa upinzani, akiwemo aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, katika boma lake huko Tseikuru, kaunti ya Kitui.

Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, ametoa onyo kwa serikali ya Rais William Ruto dhidi ya mipango ya kumkamata naibu rais wa zamani, Rigathi Gachagua

Viongozi wa upinzani Kalonzo na Wamalwa wanamtaka DP Kindiki ajiuzulu, wakitaja uharamu kufuatia uamuzi wa mahakama kuhusu kesi ya kumuondoa Gachagua.

Rais William Ruto alisema yuko tayari kuushinda upinzani wowote utakaoundwa kabla ya uchaguzi wa 2027, akisisitiza kazi aliyofanya inampa nafasi ya muhula wa pili.

Kalonzo Musyoka alimshutumu William Ruto kwa kupanga njama ya kuvuruga uchaguzi wa 2027 kupitia kile alichokitaja uteuzi wa upande mmoja katika IEBC.

Rais wa zamani Uhuru Kenyatta na Kalonzo Musyoka walionekana maridadi walipokuwa wakihudhuria harusi ya mwanawe Gideon Moi David Kimoi. Video yao imesambaa.

Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani mwenye ushawishi mkubwa aliungana na viongozi wa upinzani ambao wamekuwa wakipanga kumng’oa Rais William Ruto ifikapo 2027

Baada ya miaka 14 chini ya bendera hiyo hiyo, Chama cha Wiper kinatazamiwa kufanya mageuzi makubwa kinapojitayarisha kwa Uchaguzi Mkuu ujao alisema Kalonzo Musyoka.
Kalonzo Musyoka
Pakua zaidi