
Habari za Kaunti ya Nyeri







Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amejiuzulu kutoka UDA, akitaja usaliti wa maadili, ahadi zilizofeli, na uongozi anaouita hatari kwa demokrasia ya Kenya.

Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Kanjuri iliyoko Nyeri walishangazwa na kusisimka wakati mwalimu wao mkuu alipopanda jukuani na kuonyesha minenguo mikali.

Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amemshutumu Farouk Kibet kwa kunyakua nafasi ya rais akidai ana ushawishi mkubwa serikalini na anaongoza kwa kifua.

Viongozi wa eneo hilo wametoa mwito kwa ustaarabu kabla ya ziara ya mwisho ya Rais William Ruto ya Mlima Kenya katika kaunti ya Nyeri Jumamosi, Aprili 5.

Rais William Ruto amekuwa akipokea mapokezi mazuri katika eneo lote la Mlima Kenya katika ziara yake ya juma moja, tofauti na walivyotarajia wakosoaji.

Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Kimani Ichung'wah alilazimika kukatiza hotuba yake baada ya wakazi wa Nyandarua kumkejeli. Lakini hajaguswa na tukio hilo.

Seneta wa Kiambu Karungo Thang'wa ameeleza ni kwa nini Gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga alihudhuria mkutano wa William Ruto, na kuutaja kuwa mkakati wa chambo.

Aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma Justin Muturi alikanusha madai ya Rais William Ruto kuhusu kufutwa kwake kazi. Alisema Ruto hakuwa mwaminifu.

Rais William Ruto yuko kwenye ziara ya maendeleo katika eneo la Mlima Kenya. Aliwahakikishia wakazi kuwa hajasahau kazi waliyomfanyia na heshima yao.
Habari za Kaunti ya Nyeri
Pakua zaidi