
Habari za Kaunti ya Kitui







Waliokunywa pombe hiyo walilalamikia dalili zinazofanana, zikiwemo maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo, na homa kali, miongoni mwa mengine. TUKO.co.ke.

Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse alifukuzwa kwenye mazishi ya MCA, marehemu Magdalene Kalembe. Ni mmoja wa waliopiga NDIYO kura ya mswada wa fedha 2024.

Mwendesha bodaboda mwenye umri wa miaka 27 kwa jina Peter kutoka kaunti ya Kitui alipatikana amefariki baada ya kueleza kuhuzunishwa na maisha yake.

Familia moja jijini Nairobi iina furaha baada ya binti yao aliyekuwa ametoweka, Joy Muthoni, mwenye umri wa miaka 12 kupatikana. Mshukiwa Teresia Dominic amekamatwa.

Waziri Peninah Malonza alikuwa na wakati mgumu kuhutubia waombolezaji katika kaunti ya Kitui baada ya kutetea serikali ya Rais William Ruto ya Kenya Kwanza.

Uhuru Kenyatta alisema amekuwa kinga dhidi ya michezo ya kulaumiwa na serikali ya Kenya Kwanza. Alishangaa kwa nini kila mara alilaumiwa na serikali.

Haya yanajiri huku kiongozi huyo wa zamani wa nchi akifanya matembezi ya kisiasa baada ya kuwa mbali na umma kwa miezi kadhaa, na mwenyeji wake Kalonzo na wengine.

Polisi katika kaunti ndogo ya Mwingi Mashariki wanachunguza kisa ambapo mwanamume mmoja aliuawa baada ya kujaribu kuwaibia maafisa wawili wa polisi kimabavu.

Juddy Mwini, mwanamke Mkamba kutoka Makueni, anatafuta mume lakini ana sharti moja: hakuna wanaume wa Kijaluo. Mama wa mtoto mmoja huthamini uaminifu kuliko mali.
Habari za Kaunti ya Kitui
Pakua zaidi