
Habari za William Ruto







Serikali ya Kenya inawajengea nyumba ya vyumba viwili wazazi wa Albert Ojwang aliyeuawa mikononi mwa polisi. Wanataka kukamilisha nyumba kabla ya mazishi.

Aliyekuwa waziri wa Biashara Moses Kuria amekuwa akituma ishara tofauti kuhusu nafasi yake katika serikali ya muungano ya Kenya Kwanza ya Rais William Ruto.

Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wameonyesha kutoridhika baada ya babake Albert Ojwang kupokea msaada wa kifedha kutoka kwa Rais William Ruto....

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat alijiondoa ofisi kwa muda kuruhusu uchunguzi wa mauaji ya Albert Ojwang. Rais William Ruto alimtaka afanye hivyo.

Babake Albert Ojwang, mwalimu aliyeuawa, amethibitisha kuwa Rais William Ruto na waziri mkuu wa zamani Raila Odinga walimpigia simu binafsi kumpa pole.

Rais William Ruto amewashambulia tena viongozi wa upinzani, akidai kuwa hawana mpango wowote wa maendeleo ya nchi zaidi ya kuendeleza siasa za ukabila

Naibu Rais Kithure Kindiki halegei na mikutano yake ya uwezeshaji licha ya kukosolewa, akiongoza kuchangisha pesa katika kaunti za Machakos na Nyamira.

Meshack Opiyo sasa anamtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kumsaidia kupata haki kwa mwanawe, Albert Ojwang, aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi Nairobi.

Baada ya vuta n'kuvute hatimaye Rais William Ruto amewateua wanachama wapya wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ambao watahudumu kwa kipindi cha miaka sita.
Habari za William Ruto
Pakua zaidi